All Bout U

"All bout U" ni jina la kutaja single ya nne ya 2Pac kutoka katika albamu yake ya All Eyez on Me. Wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa "Candy" kutoka katika bendi ya Cameo na kumshirikisha Nate Dogg akiimba kiitikio cha wimbo, na mstari wa mwisho na tatu umegawiwa baina ya Yaki Kadafi na Hussein Fatal, wanachama wa Outlawz. Dru Down na Snoop Dogg waliongea katika moja ya sehemu za wimbo, Dru Down mwanzoni mwa wimbo na Snoop Dogg mwishoni mwake, lakini hawaja rap.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search